Jifunze, imarisha imani, jenga mahusiano na ujuane zaidi na vijana wa dekania.Mshirikishe mwenzako na tujitokeze kwa wingi
- Semina na uchanbuzi wa Padre
- Kahawa na snacks
- Sala ya pamoja
- Misa Takatifu
- Semina ya kiroho na mafundisho
- Michezo ya kuchangamsha mwili
- Kuabudu Ekaristi Takatifu
- Burudani mbalimbali