Back to Events
Matukio ya Klabu Maelezo ya Tukio
12 Jul 2026
SIKU YA VIWAWA
Tukio la Klabu

SIKU YA VIWAWA

CH
Chairperson and Secretary
Organizer
When:Jul 12 – Jul 12, 2026
Imechapishwa na:janeth wiliam
Event Dates
Jul 12 – Jul 12, 2026
Muda
11:30 a.m – 5 a.m
Mahali
Mt. Gaspari Del Buffalo, Mbezi Beach
Iliyopangwa na
Chairperson and Secretary

Utambulisho wa Programu ya Viwawa na lengo lake kuu
Faida na fursa zinazopatikana kupitia programu ya Viwawa
Jinsi ya kujisajili na kutumia huduma mbalimbali ndani ya programu
Upatikanaji wa bidhaa, huduma na nafasi za kazi kupitia Viwawa
Umuhimu wa matumizi ya teknolojia katika kurahisisha maisha ya jamii
Jinsi vijana wanavyoweza kutumia majukwaa ya kidijitali kujikwamua kiuchumi
Kupokea maoni, maswali na mapendekezo kutoka kwa watumiaji

Topics Covered

Utambulisho wa Programu ya Viwawa na Uwezeshaji wa Vijana na Jamii Kupitia Teknolojia ya Kidijitali

Kuhusu Tukio Hili

Iliyopangwa na

Klabu ya St. Gaspar Viwawa

Chairperson and Secretary

Browse More Events

Discover more upcoming events and revisit memorable past gatherings from our community.

All Club Events
Link copied to clipboard