Tangazo! Tangazo! Karismatiki Katoliki ya Mtakatifu Gaspar Del Bufalo, Parokia ya Mbezi Beach, inawaalika waamini wote kwenye Wiki ya Neema itakayofanyika kuanzia tarehe 01 hadi 10 Novemba 2026. Wahubiri wetu watakuwa Fr. Kisima, Fr. Mapinduzi na Mwl. Ivan Kibiki kutoka Jimboni. Ni fire, fire, fire! Usikose, maana moto utawaka Mbezi Beach! Kwa mawasiliano zaidi piga 0752 558 677. Karibuni sana.
Tarehe ya tukio
1 Nov 2026
Jumapili
MahaliMt. Gaspari Del Buffalo, Mbezi Beach
Muda wa kusoma
Dakika 1 ya kusoma