Habari
SARE YA VIWAWA INAPATIKNA, PATA YAKO SASA
Vazi la Kitenge linapatikana Duka la kanisa lililopo karibu
Endelea kupata habari mpya, matangazo, na matukio yajayo ya jumuiya yetu ya kanisa.
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Vazi la Kitenge linapatikana Duka la kanisa lililopo karibu
Jumapili ya tarehe 7 Septemba 2025 Mwenyeheri Carlos wa Acutis kijana mdogo msimamizi wa vijana na teknolojia atatangazwa mtakatifu hapo Roma.