Rudi
Habari
RATIBA YA NJIA YA MSALABA
Njia ya msalaba itakuwepo kila ijumaa ya kwaresma.Asubuhi saa 11:30 kabla ya misa ya saa 12 asubuhi na saa 11 jioni kabla ya misa ya saa 11:30 jioni.
Maelezo Zaidi