Rudi
Habari
SEMINA YA UPONYAJO NA KUFUNGULIWA
Semina ya uponyaji na kufunguliwa
Karismatiki katoliki parokia ya Mt Gaspar Del Bufalo mbezi Beach wanakualika kwenye semina hii itakayoongozwa na Fr Patrice Ndemasi, Fr Dennis Massawe na Mwl. Stella Mrema. Itanza saa 9 alhasiri hadi saa 12 jioni, tarehe 6 -15 Machi, 2026
Nyote mnakaribishwa.
Maelezo Zaidi
Semina ya uponyaji na kufunguliwa Karismatiki katoliki parokia ya Mt Gaspar Del Bufalo mbezi Beach wanakualika kwenye semina hii itakayoongozwa na Fr Patrice Ndemasi, Fr Dennis Massawe na Mwl. Stella Mrema. Itanza saa 9 alhasiri hadi saa 12 jioni, tarehe 6 -15 Machi, 2026 Nyote mnakaribishwa.