Rudi
Habari
RATIBA YA MAZISHI YA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO
kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari kifo cha Mwadhama Polycarp kardinali Pengo kilichotokea tarehe 19 Februari alhamisi saa nne usiku. Hivyo Jumamosi 28 Februari 2026 kutakuwa na kutoa heshima za mwisho kuanzia saa 1:00 hadi saa 3:45 asubuhi na kufuatiwa na misa Takatifu saa 4 asubuhi
Maelezo Zaidi