Rudi
Habari
RATIBA YA MAZISHI YA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO

Imechapishwa na: Erica Lello
Imechapishwa: Februari 26, 2026
Location: Parokia ya Mt Yoseph Dsm
Kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari kifo cha Mhashamu Polycarp Kardinali Pengo kilichotokea tarehe 19 saa nne usiku ratiba ya kumuaga inaanza kwa kutoa heshima za mwisho ijumaa 27 Februari 2026 saa 3:15 asubuhi hadi saa 9:30 jioni ikifuatiwa na misa Takatifu na mkesha wa Sala na maombolezo

Maelezo Zaidi