Rudi
Habari
SIKU YA WAGONJWA NA WAHUDUMU WA AFYA DUNIANI
Kuelekea Siku ya wagonjwa na wahudumu wa Afya duniani Kumbukizi ya Bikira Maria w Lurdi tunaombwa na kanisa katoliki Tanzania kuchangia damu ili kuokoa maisha Jumapili tarehe 8 ni siku ya kuchangia damu na jumatano tarehe 11 ni siku ya kuwaombea wagonjwa na wahudumu wa Afya misa maalum Saa 4 asubuhi
Wazee na wagonjwa waletwe kanisani na pia mwenye matendo ya huruma alete kabla ya siku hiyo.
Maelezo Zaidi
Kuelekea Siku ya wagonjwa na wahudumu wa Afya duniani Kumbukizi ya Bikira Maria w Lurdi tunaombwa na kanisa katoliki Tanzania kuchangia damu ili kuokoa maisha Jumapili tarehe 8 ni siku ya kuchangia damu na jumatano tarehe 11 ni siku ya kuwaombea wagonjwa na wahudumu wa Afya misa maalum Saa 4 asubuhi Wazee na wagonjwa waletwe kanisani na pia mwenye matendo ya huruma alete kabla ya siku hiyo.