Rudi
Habari
MAFUNDISHO YA KOMUNIO NA KIPAIMARA
Mafundisho ya komunio na kipaimara yameanza kuanzia tarehe 22 Januari 2026.
Ratiba ni Alhamisi na Jumamosi saa 9 alasiri Kwa lugha zote mbili
Jumapili Kwa lugha ya kiengereza saa 1 asubuhi na saa 3 asubuhi Kwa lugha ya kiswahili
Maelezo Zaidi
Mafundisho ya komunio na kipaimara yameanza kuanzia tarehe 22 Januari 2026. Ratiba ni Alhamisi na Jumamosi saa 9 alasiri Kwa lugha zote mbili Jumapili Kwa lugha ya kiengereza saa 1 asubuhi na saa 3 asubuhi Kwa lugha ya kiswahili