Rudi
Tukio
MAVUNO KIPAROKIA NA KIJIMBO 2026

MAVUNO KIPAROKIA NA KIJIMBO 2026

Imechapishwa na: Erica Lello
Imechapishwa: Januari 31, 2026
Location: Mt Gasper Del Bufalo
Utaratibu mpya wa Mavuno yatakusanywa ngazi ya familia ikitanguliwa na Misa Takatifu kifamilia sio kijumuiya. Familia ialike ndugu na marafiki.

Maelezo Zaidi

Utaratibu mpya wa Mavuno yatakusanywa ngazi ya familia ikitanguliwa na Misa Takatifu kifamilia sio kijumuiya. Familia ialike ndugu na marafiki.

MAVUNO KIPAROKIA NA KIJIMBO2026