Rudi
Tukio

KONGAMANO LA DAMU AZIZI YA YESU
Kongamano limeandaliwa na Wamisionari na Wnautume wa Damu Azizi ya Yesu, litafanyika parokiani Mt Gaspar Del Bufalo Ikiongozwa kwa ibada takatifu na Askofu mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi atakayefungua kongamano kisha siku ya kufungwa ibada itaongozwa na Padre Vedasto Ngowi mkuu wa shirika la damu azizi
Maelezo Zaidi
Kongamano limeandaliwa na Wamisionari na Wnautume wa Damu Azizi ya Yesu, litafanyika parokiani Mt Gaspar Del Bufalo Ikiongozwa kwa ibada takatifu na Askofu mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi atakayefungua kongamano kisha siku ya kufungwa ibada itaongozwa na Padre Vedasto Ngowi mkuu wa shirika la Damu azizi
