Rudi
Habari

MISA TAKATIFU YA SHUKRANI
IBADA YA MISA TAKATIFU YA SHUKRANI YA PADRE METODI PASTORY KIBIRITI
Itafanyika Tarehe 25 Julai katika Kijiji cha chimbuko la wazazi wake Parokia ya Sofi Majiji, Jimbo katoliki la Mahenge Morogoro.
Kisha kufuatiwa na misa nyumbani tarehe 26 Julai , Misa zote ni saa 4:00 Asubuhi. Wote mnakaribishwa.
Maelezo Zaidi
Misa itafanyika tarehe 25 Julai 2025 katika Parokia ya Sofi Majiji na kisha kufuatiwa na misa nyingine nyubani kwao kesho yake. Misa zote ni saa 4:00 asubuhi
