Rudi
Habari

KUTANGAZWA KUWA MTAKATIFU MWENYEHERI CARLOS ACUTIS
Jumapili ya tarehe 7 Septemba 2025
Mwenyeheri Carlos wa Acutis kijana mdogo msimamizi wa vijana na teknolojia atatangazwa mtakatifu hapo Roma.
Maelezo Zaidi
Jumapili ya tarehe 7 Septemba 2025 Mwenyeheri Carlos wa Acutis kijana mdogo msimamizi wa vijana na teknolojia atatangazwa mtakatifu hapo Roma
