Rudi
Habari

MAFUNDISHO YA EKARISTI TAKATIFU KIPAIMARA NA UKATEKUMENI
Mafundisho yanaendelea wazazi walezi andikisheni watoto na vijana wenu
Maelezo Zaidi
Ekaristi na Kipaimara ni Kila alhamisi na jumamosi saa 9 jioni Kwa Kiswahili na jumapili saa 1 asubuhi Kwa kingereza na saa 3 asubuhi kwa kiswahili Wakatekumeni Kila jumatano, alhamisi na ijumaa saa 9 jioni Kwa Kiswahili
