Rudi
Habari
MAFUNGO KUOMBEA HAKI NA AMANI TANZANIA
Mafungo haya ni Kwa masaa 24 Kanisa likisali na kumuomba Mungu mchana na usiku mbele ya Ekaristi Takatifu na maungamo yakiendelea.
Kwa zamu za makundi. Kadiri ya Parokia ilivyopanga. Misa Takatifu ikifungua mafungo na ikiitimisha mafungo hayo.
Nia kuu ni kuombea HAKI na AMANI TANZANIA.
Maelezo Zaidi
Mafungo haya ni Kwa masaa 24 Kanisa likisali na kumuomba Mungu mchana na usiku mbele ya Ekaristi Takatifu na maungamo yakiendelea. Kwa zamu za makundi. Kadiri ya Parokia ilivyopanga. Misa Takatifu ikifungua mafungo na ikiitimisha mafungo hayo.