Rudi
Habari

Jubilei 2025 Mahujaji wa matumaini
Katika Kanisa Katoliki maadhimisho ya Jubilei ni mwaka wa toba na maondoleo ya dhambi; upatanisho, na wongofu wa ndani unaojikita katika Sakramenti ya Kitubio. Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo yananogeshwa na kauli mbiu: Mahujaji wa matumaini. Huu ni muda muafaka wa kusoma na kutafakari Neno la Mungu; Kusali na kumwilisha sala hii katika matendo ya huruma kiroho na kimwili, ili kuwaonjesha matumaini wale waliopondeka na kuvunjika moyo!
Maelezo Zaidi
Katika Kanisa Katoliki maadhimisho ya Jubilei ni mwaka wa toba na maondoleo ya dhambi; upatanisho, na wongofu wa ndani unaojikita katika Sakramenti ya Kitubio. Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo yananogeshwa na kauli mbiu: Mahujaji wa matumaini. Huu ni muda muafaka wa kusoma na kutafakari Neno la Mungu; Kusali na kumwilisha sala hii katika matendo ya huruma kiroho na kimwili, ili kuwaonjesha matumaini wale waliopondeka na kuvunjika moyo! https://www.vaticannews.va/sw/pope/news/2025-01/jubilei-miaka-2025-ya-ukristo-mahujaji-wa-matumaini.html
