Photo from Erica Lello's testimony
0
Blessed
0
Prayers
0
Comments
0
Shares
“Nilikuwa sina kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Nilihisi kukata tamaa, lakini niliendelea kuomba na kumtumainia Mungu. Ghafla nilipata simu ya kazi ambayo sikuwahi hata kutuma maombi. Leo nina kazi nzuri na ninaweza kusaidia familia yangu. Hakika Mungu ni mwaminifu.”
Related Testimonies
MUNGU AMENIPA AJIRA
"Nilikaa muda mrefu bila ajira, lakini niliendelea kuwa mwaminifu na kuomba huku nikiendelea kutuma maombi ya kazi. Hatimaye Mungu alifungua …
Comments & Responses (0)
Please login to leave a comment.